Kevin De Bruyne akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la pili Ubelgiji dakika ya 31 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Brazil leo Uwanja wa Kazan Arena nchini Urusi kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia. Bao la kwanza la Ubelgiji lilifungwa na Fernandinho dakika ya 13, wakati la Brazil lilifungwa na Renato Augusto dakika ya 76 na sasa watakutana na Ufaransa katika Nusu Fainali Julai 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment