SAMATTA NA GENK WAPO UHOLANZI MAANDALIZI YA MSIMU MPYA
Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta akiwa mazoezini na timu yake, KRC Genk kwenye kambi ya Horts, Uholanzi kujiandaa na msimu mpya
Mbwana Samatta anaonekana yuko fiti kabisa kuelekea msimu ujao
0 comments:
Post a Comment