Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 85 ikiwalaza wenyeji Getafe 2-1 Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez katika mchezo wa La Liga leo. Karim Benzema alianza kuwafungia Real dakika ya 39, kabla ya Jorge Molina kuwasawazishia wenyeji dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Furious Luka Modric blasts Croatia after 7-0 mauling by England: Legendary
midfielder, 41, says he is 'ashamed' after 'unacceptable' Nations League
defeat
-
Luka Modric has spoken of his 'shame' after his Croatia side were
obliterated 7-0 by England in the Nations League. Modric, 41, gave a
damning assessment o...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment