Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kushoto) akizungumza na refa Heri Sasii wakati wa mapumziko kwenye mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Heri Sasii alionekana kuyapuuza anayoambiwa na Okwi na kumuambia aondoke
Refa Heri Sasii anaaonekana anakumsukuma Okwi ili aondoke
Lakini Okwi aligeuka kuendelea kulalamika huku anaondoka kinyumenyume. Nini alikuwa analalamika Okwi?
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment