• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 29, 2017

  LEICESTER CITY YAITANDIKA 2-0 EVERTON LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji Jamie Vardy (kushoto) akiifungia Leicester City bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power. Bao la pili la Leicester Jonjoe Kenny alijifunga dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAITANDIKA 2-0 EVERTON LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top