Waziri wa zamani wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (kushoto) akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam wakifuatilia mechi ya mahasimu wa jadi, Simba na Yanga
Nape ambaye pia ni kada wa CCM na Mbunge wa jimbo l Mtama aliwashuhudia watani wakitoa sare ya 1-1 jana
Nape akizungumza na rafiki mbalimbali jana Uwanja wa Uhuru
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment