• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 28, 2017

  PILIKA ZINAENDELEA NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA SIMBA NA YANGA

  Mama na mwana, au mtu na mdogo wake mashabiki wa Yanga wakielekea kuingia Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Simba
  Mashabiki wa Yanga mtu na mpenzi wake tayari kuingia Uwanja wa Uhuru
  Jezi zinaendelea kuuzwa nje ya Uwanja wa Uhuru
  Na watu wanazidi kumiminika wakiteremshwa na mabasi
  Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Uhuru
  Mashabiki wengine bado wapo Baa wanapata vinywaji
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PILIKA ZINAENDELEA NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top