• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 29, 2017

  BIN ZUBEIRY, WAMBURA NA KINGOBA ENZI ZA UJANA WAO KAZINI

  Waandishi wa habari za michezo, kutoka kulia, Mahmoud Zubeiry wa gazeti la Dimba, Mgaya Kingoba wa gazeti la Mtanzania na Boniphace Wambura wa gazeti la Majira wakiwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro waiwa wamekaa chini wakiripoti mchezo wa Ligi Kuu kati ya Mtibwa Sugar na Yanga mwaka 1999 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BIN ZUBEIRY, WAMBURA NA KINGOBA ENZI ZA UJANA WAO KAZINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top