• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 31, 2017

  KANE YUKO FITI KUWAVAA REAL MADRID KESHO WEMBLEY

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa mazoezini na wenzake leo baada ya kupona maumivu ya nyama za paja wakijiandaa na mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya kesho dhidi ya Real Madrid Uwanja wa Wembley, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE YUKO FITI KUWAVAA REAL MADRID KESHO WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top