• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 29, 2017

  REAL MADRID WACHAPWA 2-1 NA KITIMU KIDOGO CHA KATALUNYA

  Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Real Madrid wakiwa na huzuni baada ya kupoteza mchezo wa La Liga ugenini mbele ya wenyeji, Girona kwa kufungwa 2-1 Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona, Katalunya. Mabao ya Girona yalifungwa na Christhian Stuani dakika ya 54 na Christian Portu dakika ya 58, kufuatia Isco kuanza kuifungia Real dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID WACHAPWA 2-1 NA KITIMU KIDOGO CHA KATALUNYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top