Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili 17 na 55 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 19, David Silva dakika ya 27, Fernandinho dakika ya 60, Leroy Sane dakika ya 62 na Bernardo Silva dakika ya 79, wakati ya Stoke City yamefungwa na Mame Diouf dakika ya 44 na Kyle Walker aliyejifunga dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Australian Grand Prix - Formula One: Live leaderboard and lap-by-lap
updates as Lando Norris starts on pole ahead of season curtain-raiser, with
Lewis Hamilton eighth
-
Follow Mail Sport's live blog for the latest leaderboard standings and
lap-by-lap updates in the 2025 Australian Grand Prix.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment