• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 25, 2017

  KINDA NKETIAH AIBEBA ARSENAL KOMBE LIGI ENGLAND

  Chipukizi wa umri wa miaka 18 Edward Nketiah akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Arsenal dakika za 85 na 96 kufuatia kuingia akitokea benchi dakika ya 85 kuchukua nafasi ya Reiss Nelson na kuwawezsha Washika Bunduki kushinda 2-1 dhidi ya Norwich City ndani ya dakika 120 usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London na kutinga Robo Fainali ya Kombe la Carabao. Bao la Norwich lilifungwa na Josh Murphy dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KINDA NKETIAH AIBEBA ARSENAL KOMBE LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top