• HABARI MPYA

    Monday, October 30, 2017

    BARCELONA WAIFUATA OLYMPIAKOS UGIRIKI LIGI YA MABINGWA KESHO

    Lionel Messi akipanda ndege Uwanja wa Ndege wa El Prat wakati kikosi cha Barcelona kikisafiri kwenda Athens, Ugiriki leo kwa ajili ya mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Olympiakos kesho usiku PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA WAIFUATA OLYMPIAKOS UGIRIKI LIGI YA MABINGWA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top