• HABARI MPYA

    Friday, October 27, 2017

    PATACHIMBIKA KESHO ANTHONY JOSHUA NA CARLOS TAKAM

    Bondia Anthony Joshua (kushoto) akitunishiana msuli na mpinzani wake, Carlos Takam wakati wa kupima uzito leo kuelekea pambano lao la uzito wa juu kesho Uwanja wa Principality mjini Cardiff kuwania ubingwa wa dunia wa WBC PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PATACHIMBIKA KESHO ANTHONY JOSHUA NA CARLOS TAKAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top