• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 23, 2017

  MZEE DALALI ALIVYOITAZAMA SIMBA KUELEKEA MECHI NA YANGA

  Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali (mwenye baraghashi) akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Njombe Mji Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0 na mchezo ujao itamenyana na mahasimu, Yanga hapo hapo Uhuru 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MZEE DALALI ALIVYOITAZAMA SIMBA KUELEKEA MECHI NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top