Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Ndama Shaaban Hussein ''Pedezyee Ndama Mtoto wa Ng'ombe' akiwa ameshika tama Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kabla ya mchezo dhidi ya mahasimu, Simba Saa 10:00 jioni
Haijulikani Ndama ambaye ndiye anasimamia timu kwa sasa anawaza nini muda huu
Kushoto kwa Ndama ni Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment