• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 24, 2017

  EVERTON WAIFUATA CHELSEA KWA TRENI CARABAO CUP

  Wayne Rooney akiwa na wachezaji wenzake wa Everton kwenye stesheni ya treni leo kwa safari ya London kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Carabao dhidi ya wenyeji, Chelsea kesho ambao utakuwa wa kwanza kocha wa muda, David Unsworth aliyepewa nafasi ya Ronald Koeman aliyefukuzwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: EVERTON WAIFUATA CHELSEA KWA TRENI CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top