• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 25, 2017

  JESSE AFUNGA YOTE MAWILI MAN UNITED WAENDA ROBO FAINALI

  Matteo Darmian (kushoto) na Marcus Rashford (kulia) wakimkimbilia Jesse Lingard (katikati) kumpongeza baada ya kuifungia Manchester United mabao yote mawili dakika za 21 na 59 dhidi ya wenyeji, Swansea City usiku wa jana Uwanja wa Liberty, Swansea nchini Wales na kuipeleka Robo Fainali ya kombe la Carabao PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JESSE AFUNGA YOTE MAWILI MAN UNITED WAENDA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top