• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 26, 2017

  BAILLY AREJEA MAZOEZINI MAN UNITED BAADA YA KUPONA

  Kiungo Eric Bailly aliyekuwa majeruhi akishiriki mazoezi na wachezaji wenzake wa Manchester United, Juan Mata na Nemanja Matic leo viwanja vya Carrington baada ya kupona wakijiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya England Jumamosi Uwanja wa Old Trafford, Manchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAILLY AREJEA MAZOEZINI MAN UNITED BAADA YA KUPONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top