• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 26, 2017

  ARSENAL NA WEST HAM, MAN UNITED NA BRISTOL ROBO FAINALI CARABAO

  TIMU ya Arsenal itakutana na West Ham United katika Robo Fainali ya Kombe la Carabao msimu wa 2017/2018 baada ya droo iliyopangwa usiku huu.
  Timu nyingine ya London, Chelsea itakuwa mwenyeji wa AFC Bournemouth, wakati mahasimu wa Jiji la Manchester watakuwa ugenini wote safari hii.
  Man City watakuwa wageni wa Leicester City na United watakuwa wageni wa Bristol City.
  Mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa Jumatatu ya Desemba 18, mwaka huu.

  Ratiba ya Carabao Cup baada ya kutolewa leo kama inavyoonekana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL NA WEST HAM, MAN UNITED NA BRISTOL ROBO FAINALI CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top