• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 30, 2017

  BALE YU TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA SPURS JUMATANO LONDON

  Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid leo kujiandaa na mchezo wa Kundi H, Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano dhidi ya timu yake ya zamani, Tottenham Hotspur mjini London, nchini England. Bale alitarajiwa kuikosa mechi hiyo kutokana na kuwa majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALE YU TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA SPURS JUMATANO LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top