• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 31, 2017

  MANCHESTER UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA LOWRY

  Mshambuliaji nyota, Romelu Lukaku akiwasili katika hoteli ya Lowry jana usiku ambako timu yake, Manchester United imeweka kambi kujiandaa na mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya leo usiku dhidi ya  Benfica Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA LOWRY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top