• HABARI MPYA

    Sunday, October 22, 2017

    BARCELONA YAICHAPA MALAGA 2-0 CAMP NOU LA LIGA

    Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka kiungo wa Malaga, Esteban Rolon katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou. Barca ilishinda 2-0 mabao ya Gerard Deulofeu dakika ya pili na Andres Iniesta dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA MALAGA 2-0 CAMP NOU LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top