• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 23, 2017

  ARSENE WENGER AKIWAANDAA ARSENAL KWA MCHEZO WA KESHO

  Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa na mipira mitatu wakati wa mazoezi ya timu yake leo mjini London kujiandaa na mchezo wa raundi ya nne ya Kombe la Carabao dhidi ya Norwich kesho, wakitoa kuifunga 5-2 Everton jana hadi imemfukuza kocha wake, Mholanzi, Ronald Koeman PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENE WENGER AKIWAANDAA ARSENAL KWA MCHEZO WA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top