• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 25, 2017

  BRAVO 'ACHEZA' PENALTI MBILI NA KUIBEBA MAN CITY CARABAO

  Kipa Claudio Bravo akifurahia kishujaa baada ya kuokoa penalti za Alfred N'Diaye na Conor Coady kuiwezesha Manchester City kushinda kwa penalti 4-1 usiku wa jana Uwanja wa Etihad baada ya sare ya 0-0 na Wolves katika mchezo wa Raundi ya Nne ya Kombe la Carabao Cup, hivyo kwenda Robo Fainali. Penalti za City zilifungwa na Kevin De Bruyne, Yaya Toure na Leroy Sane, wakati ya Wolves ilifungwa na Leo Bonatini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BRAVO 'ACHEZA' PENALTI MBILI NA KUIBEBA MAN CITY CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top