Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimiliki mpira mbele ya beki wa Njombe Mji FC, Ahmed Adiwale katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0
Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Njombe Mji, Laban Kambole katika mchezo wa jana
Mshambuliaji Mghana wa Simba, Nicholaus Gyan akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Njombe Mji FC, Laban Kambole
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiondoka na mpira jana Uwanja wa Uhuru
Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo pamoja na kumpita kipa wa Njombe Mji, David Kissu hapa, lakini hakufunga
Kiungo wa Simba SC, Muzamil Yassin akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Njombe Mji
Beki wa Simba, Erasto Nyoni akipiga krosi mbele ya beki wa Njombe Mji, Claide Waigenge
Beki wa Njombe Mji FC, Laban Kambole akigeuka na mpira kumpiga chenga winga wa Simba, Shiza Kichuya
Kikosi cha Simba kilichoanza jana Uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Njombe Mji FC kilichoanza jana Uwanja wa Uhuru
Super-woke AFL legend Bob Murphy's radio career with the ABC gets off to a
disastrous start
-
Robert 'Bob' Murphy was a revered figure in his footy career with the
Western Bulldogs across 312 games - but he's not feeling the love from
Melburnians an...
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment