• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 25, 2017

  NI MECHI YA 99 KWA WATANI WA JADI LIGI KUU, 98 ZILIZOPITA NANI KASHINDA ZAIDI?

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
  WATANI wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi watakutana katika mechi ya 99 ya Ligi Kuu na Ligi ya iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano tangu Juni 7, mwaka 1975.
  Na katika mechi hizo, Yanga ndiyo iliyoshinda mara nyingi zaidi, mara 36 dhidi ya mara 26 za Simba, huku mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.  

  Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Davies Mwape (kulia) akimtoka beki wa Simba wakati huo, Kevin Yondan (sasa yupo Yanga) katika mechi ya mahasimu wa jadi ya Ligi Kuu Oktoba 29, mwaka 2011. Yanga ilishinda 1-0, bao pekee la Mwape dakika ya 75 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam GONGA HAPA KUSOMA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NI MECHI YA 99 KWA WATANI WA JADI LIGI KUU, 98 ZILIZOPITA NANI KASHINDA ZAIDI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top