• HABARI MPYA

  Saturday, October 28, 2017

  HUYU DADA INGEKUWAJE LEO KAMA CHIRWA ASINGECHOMOA BAO LA KICHUYA

  Shabiki wa kike wa Yanga (kulia), akiwa mwenye huzuni sawa na mashabiki wengine vijana wadogo wa timu hiyo (kushoto) wakati timu yao ipo nyuma kwa 1-0, bao la Shiza Kichuya jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Darves Salaam kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
  Shiza Kichuya (kushoto) akipongezwa na kiungo Mghana, James Kotei baada ya kuifungia Simba dakika ya 57  
  Shiza Kichuya akishangilia bao lake
  Lakini furaha za wana Simba zilizimwa na Obrey Chirwa (kulia) aliyeisawazishia Yanga dakika ya 60 kwa pasi ya Ibrahim Ajib (kushoto)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUYU DADA INGEKUWAJE LEO KAMA CHIRWA ASINGECHOMOA BAO LA KICHUYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top