• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 26, 2017

  HIVI NDIVYO OKWI ALIVYOWAKOSA YANGA AGOSTI 23, JUMAMOSI ATARUDIA MAKOSA AKIPATA NAFASI KAMA HII TENA?

  Kipa wa Yanga, Mcameroon Youthe Rostand akiokoa kwa mguu miguuni mwa mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Agosti 23, mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 kabla ya Simba kwenda kushinda kwa penalti 5-4
  Okwi alifanikiwa kuwapita mabeki wa Yanga na kubaki na kipa lakini akashindwa kufunga. Jumamosi timu hizo zinakutana tena Uwanja wa Uhuru katika mechi ya Ligi Kuu, Okwi atapata nafasi kama hii tena? Na akiipata atarudia makosa? 
  Wazi kipa Youthe Rostand alimshukuru Mungu wake kwa kukoswa na Okwi hapa Agosti 23, Uwanja wa Taifa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO OKWI ALIVYOWAKOSA YANGA AGOSTI 23, JUMAMOSI ATARUDIA MAKOSA AKIPATA NAFASI KAMA HII TENA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top