• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 28, 2017

  ARSENAL YAWAZIMA SWANSEA CITY, YAWAPIGA 2-1 EMIRATES

  Aaron Ramsey akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 58 wakishinda 2-1 leo dhidi ya Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Swansea walitangulia kwa bao la Sam Clucas dakika ya 22, kabla ya Sead Kolasinac kuisawazishia Arsenal dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAWAZIMA SWANSEA CITY, YAWAPIGA 2-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top