• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 26, 2017

  SAMATTA ALIVYOPIGANA JANA HADI KUFUNGA BAO LA KWANZA BAADA YA MIEZI MIWILI

  Mshambuliaji Mtanzania wa KRC Genk, Mbwana Samatta akipasua katikati ya mabeki wa Club Brugge katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji uliofanyika Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk. KRC Genk ilishinda 2-0, Samatta akifunga la pili, hilo likiwa bao lake la kwanza baada ya miezi miwili katika timu hiyo 
  Beki wa Club Brugge akitelezea mpira miguuni mwa Mbwana Samatta
  Mbwana Samatta akimtoka beki wa Club Brugge
  Mbwana Samatta akigombea mpira na beki wa Club Brugge 
  Mbwana Samatta akimiliki mpira mbele ya beki wa Club Brugge
  Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwageuza na mabeki wa Club Brugge
  Mbwana Samatta akimpiga kichwa mpira wa juu dhidi ya beki wa Club Brugge
  Beki wa Club Brugge akimdhibiti Mbwana Samatta 
  Mbwana Samatta akipiga mpira kichwa mbele ya beki wa Club Brugge
  Mbwana Samatta akiondoka na mpira dhidi ya beki wa Club Brugge
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOPIGANA JANA HADI KUFUNGA BAO LA KWANZA BAADA YA MIEZI MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top