Tom Cleverley akikimbia kushangilia na Troy Deeney baada ya kuifungia Watford bao la ushindi dakika ya 90 na ushei wakiwafunga Arsenal 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road leo. Katikati ni mfungaji wa bao lao la Arsenal, Per Mertesacker dakika ya 39 akiwa ameshika kiuno. Bao la Kwanza la Watford lilifungwa na Troy Deeney kwa penalti dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
APC gets membership boost as massive decampees declare support for Tinubu,
Namadi in Jigawa
-
The ruling All Progressives Congress (APC) received a membership boost in
Jigawa State as it received massive decampees from the main opposition
politica...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment