Beki wa Simba, Mganda Juuko Murshid (kushoto) akiruka kuokoa mpira kwa kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kulia ni Nahodha na beki wa Simba, Method Mwanjali akiwa tayari kusaidia. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude na beki wa timu hiyo, Juuko Murshid akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib. Kushoto kabisa ni mshambuliaji mwingine wa Yanga, Obrey Chirwa akishuhudia
Ibrahim Ajib akiwa amezingirwa na wachezaji wa Yanga
Ibrahim Ajib akijaribu kuwania mpira katikati ya wachezaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kulia) na Method Mwanjali (kushoto)
Kiungo wa Simba, James Kotei akimdhibiti Ibrahim Ajib
Ibrahim Ajib akimiliki mpira dhidi ya kiungo wa Simba, Muzamil Yassin
Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akienda chini mbele ya Ibrahim Ajib
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akizuia shuti la Ibrahim Ajib. Kulia ni Jonas Mkude
Abia police kill 6 kidnappers, free 4 victims
-
From Okey Sampson, Umuahia Police in Abia said they have killed six
kidnappers who have been terrorising the Obingwa axis of Aba and rescued
four kidnapp...
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment