• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 28, 2017

  NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA MTANANGE WA WATANI MASHABIKI 'WANAFANYA YAO'

  Mashabiki wa Simba (kushoto) na Yanga (kulia) wakitambiana kwenye moja ya baa za nje ya Uwanja wa Taifa, kila mmoja akimuonyesha mwenzake idadi ya mabao ambayo timu yake itashinda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
  Hapa ni mashabiki wa Yanga wakipata vinywaji kabla ya kuingia uwanjani
  Hapa ni mashabiki wa Yanga wakipata vinywaji kabla ya kuingia uwanjani
  Mashabiki wa Simba wakipata wakisubiri huduma katika moja ya baa za nje ya Uwanja wa Uhuru 
  Hapa wamekaa pamoja mashabiki wa Yanga na Simba 
  Mashabiki wa Simba wakiwa mezani wanasubiri huduma
  Hawa ndiyo wanawahi kukata tiketi bila shaka
  Huyu binti amekwishakata tiketi anakwenda kupoteza muda sehemu atarejea
  Hawa bila shaka wanawahi kmuingia uwanjani mapema
  Mwonekano wa kuelekea Uwanja wa Uhuru kama unatokea Chang'ombe
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA MTANANGE WA WATANI MASHABIKI 'WANAFANYA YAO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top