• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 28, 2017

  SHABIKI WA SIMBA ASALI ADHUHURI NDANI YA UWANJA WA UHURU

  Shabiki wa Simba muumini wa dini ya Kiislamu akiwa na mtu mwingine ambaye haikufahamika ni mpenzi wa timu gani wakifanya ibada ya sala la Adhuhuri ndani ya Uhuru, Dar es Salaam kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Yanga jioni ya leo
  Mashabiki hawa wakiendelea na ibada sala ya Adhuhuri 
  Mashabiki hawa wakiendelea na ibada sala ya Adhuhuri
  Mashabiki hawa wakiendelea na ibada sala ya Adhuhuri
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHABIKI WA SIMBA ASALI ADHUHURI NDANI YA UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top