• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 29, 2017

  MWANJALI MAPIGO HAYA NI SOKA TU, AU NA KARATE PIA!

  Beki wa Simba, Method Mwanjali akiruka kibabe kama mcheza karate kuudhibiti mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1 
  Hapa Method Mwanjali anamchezea rafu yenye kuonekana winga wa Yanga, Geofrey Mwashiuya lakini hakuonyeshwa hata kadi ya njano
  Method Mwanjali akimvagaa Geoffrey Mwashiuya jana Uwanja wa Uhuru
  Hapa Method Mwanjali akimdhibiti Ibrahim Ajib, mchezaji mwingine wa Yanga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWANJALI MAPIGO HAYA NI SOKA TU, AU NA KARATE PIA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top