• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 28, 2017

  MARTIAL AING'ARISHA MAN UNITED OLD TRAFFORD, YAIPIGA 1-0 SPURS

  Anthony Martial akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Manchester United dakika ya 81 ikiilaza 1-0 Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa Old Trafford jioni ya leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MARTIAL AING'ARISHA MAN UNITED OLD TRAFFORD, YAIPIGA 1-0 SPURS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top