![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Kevin Ndayosenga akifumua shuti kuifungia bao la kwanza timu yake jana |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akipambana na kiungo wa URA, Said Kyeyune |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka beki wa URA, Sam Sekito |
![]() |
| Beki wa URA, Bob Kasozi akijaribu kumgeuza mshambuliaji wa Simba SC, Danny Lyanga baada ya kumpokonya mopira |
![]() |
| Wachezaji wa URA wakimdhibiti beki wa Simba SC, Samih Haji Nuhu |








.png)
0 comments:
Post a Comment