• HABARI MPYA

    Monday, August 10, 2015

    LIVERPOOL YAANZA NA USHINDI LIGI KUU YA ENGLAND, YAICHAPA STOKE CITY 1-0 BRITANIA

    Nyota wa Liverpool, Joe Gomez akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Stoke City, Jonathan Walters katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Britannia. Liverpool ilishinda 1-0 bao pekee la Philippe Coutinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAANZA NA USHINDI LIGI KUU YA ENGLAND, YAICHAPA STOKE CITY 1-0 BRITANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top