• HABARI MPYA

    Monday, April 13, 2015

    YANGA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman kulia akiwania mpira dhidi ya beki wa Mbeya City, Juma Nyosso katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1
    Kiungo mshmbuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwwatoka wachezaji wa Mbeya City
    Kiungo wa Yanga SC, Salum Telela akimpitisha tobo beki wa Mbeya City, Juma Nyosso jana
    Kiraka wa Yanga SC, Mbuyi Twite (kulia) akimtoka kiungo wa Mbeya Cotu, Raphael Daudi
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva alifanikiwa kumlamba chenga kipa wa Mbeya City, Hannington Kalyesebula, lakini akapigiwa filimbi ya kuotea na refa Mathew Akrama wa Mwa za
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe akimtoka beki wa Mbeya City, Christian Sembuli            

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top