• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2015

  HISPANIA WAPELEKA TIMU YA TATU NUSU FAINALI UEFA

  Zenit midfielder Axel Witsel challenges Sevilla's Benoit Tremoulinas during a tense first half
  Kiungo wa Zenit, Axel Witsel (kulia) akipambana na Benoit Tremoulinas wa Sevilla (kushoto) katika mchezo wa Robo Fainali Europa League jana Uwanja wa Petrovsky, timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Sevilla imefuzu kwa ushindi wa jumla wa 4-3, baada ya awali kushinda 2-1 nyumbani. Sevilla inakuwa timu ya tatu ya Hispania kwenda Nusu Fainali za mashindano ya UEFA mwaka huu, baada ya Barcelona na Real Madrid kutinga hatua hiyo katika Ligi ya Mabingwa.

  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3052992/Zenit-2-2-Sevilla-Agg-3-4-Beto-blunders-cost-Sevilla-Europa-League-defence-Kevin-Gameiro-saves-day.html#ixzz3YBk5AnLJ 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HISPANIA WAPELEKA TIMU YA TATU NUSU FAINALI UEFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top