• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 26, 2015

  KLITSCHKO AMTAKA TYSON BAADA YA KUMDUNDA BRYANT JENNINGS

  BINGWA ndondi duniani uzito wa juu, Wladimir Klitschko amethibitisha kwamba Tyson Fury ndiye mpinzani wake ajaye na amesema yuko tayari kusafiri hadi England kutetea mikanda yake.
  Mfalme huyo wa mataji ya IBF, WBA na WBO jana alimpiga Mmarekani Bryant Jennings kwa pointi ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York.
  Wamarekani hao walianza kumpenda mbabe huyo wa Ukraine mwenye urefu wa futi 6 na inchi 6 mwaka 2008 wakati alipompiga Mrusi Sultan Ibragimov hapo hapo kwenye ulingo wa Madison Square Garden.
  Wladimir Klitschko celebrates after beating Bryant Jennings on Saturday night in New York City
  Wladimir Klitschko akishangilia baada ya kumpiga Bryant Jennings jana na kutetea mikanda yake mjini New York

  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/article-3055852/Wladimir-Klitschko-beats-Bryant-Jennings-points-Madison-Square-Garden.html#ixzz3YQcfQHPd 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KLITSCHKO AMTAKA TYSON BAADA YA KUMDUNDA BRYANT JENNINGS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top