• HABARI MPYA

    Tuesday, April 21, 2015

    MTANZANIA MAYUNGA ALIVYOZIMIA KENYA BAADA YA KUTAJWA MSHINDI AIRTEL TRACE MUSIC STAR

    Mtanzania Nalimi Mayunga alizimia kwa furaha wakati akiimba mara baada ya kutangazwa mshindi wa Airtel Trace Afrika na kuwaacha hoi washiriki wengine 12 kutoka nchi za Afrika katika fainali zilizofanyika Naivasha, Kenya mwishoni mwa wiki.
    Akon akimpongeza mayunga kwa kuibuka mshindi wa Airtel Trace Music Stars katika shindano la Afrika lililofanyika Naivasha Kenya

    Nalimi Mayunga akiimba wakati wa fainali ya shindano la Airtel Trace Music Star la Afrika lililofanyika Naivasha Kenya

    Mashabiki kutoka Tanzania wakipepea bendera ya kumshangilia mwakilishi wao Nalimi Mayunga wakati wa shindano la Airtel Trace Music Stars
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTANZANIA MAYUNGA ALIVYOZIMIA KENYA BAADA YA KUTAJWA MSHINDI AIRTEL TRACE MUSIC STAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top