• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 25, 2015

  BARCELONA WAZIDI KUITIMULIA VUMBI REAL MBIO ZA TAJI LA LIGA

  Barcelona's in-form forward Neymar celebrates after scoring the opening goal against Espanyol 
  Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akishangilia bao lake dhidi ya Espanyol 
  Neymar charges forward with the ball, but is tackled by Espanyol's Alvaro Gonzalez (left) on Saturday

  Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akijaribu kumtoka mchezaji wa Espanyol, Alvaro Gonzalez (kushoto) katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Cornella-El Prat, au Power8. Barca imeshinda 2-0 mabao yake yakifungwa na Neymar dakika ya 17 na Messi dakika ya 25. Barca sasa inafikisha pointi 81 baada ya kucheza mechi 33, ikiizidi kwa pointi tano Real Madrid.

  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3055367/Espanyol-0-2-Barcelona-Neymar-Lionel-Messi-fire-Catalans-five-points-clear-title-rivals-Real-Madrid.html#ixzz3YLHPltMr 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA WAZIDI KUITIMULIA VUMBI REAL MBIO ZA TAJI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top