BAYERN MUNICH WATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ILE KIBABE HASWA
ad with 10 minutes of the first half still remaining
Mshambuliaji wa Bayern Munich, Thomas Muller akishangilia na mchezaji mwenzake, Thiago baada ya ushindi wa 6-1 dhidi ya FC Porto katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Mabao mengine ya Bayern yalifungwa na Thiago, Boateng, Lewnadowski mawili na Alonso 88, wakati la Porto lilifungwa na Martinez,dakika ya 73. The Bavarians sasa wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 7-4 baada ya awali kufungwa 3-1 mjini Munich.
Ospreys' Morris bouncing back after toughest year
-
Ospreys number eight Morgan Morris can push for a first Wales call-up by
finishing strongly in the United Rugby Championship, says his coach Mark
Jones.
0 comments:
Post a Comment