• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 29, 2015

  MAYWEATHER AENDA KUKAGUA UKUMBI WA PAMBANO MGM

  Floyd Mayweather arrives at the MGM Grand with the CEO of Mayweather Promotions Leonard Ellerbe

  Bondia Floyd Mayweather akiwasili ukumbi wa MGM Grand na Mtendaji Mkuu wa Mayweather Promotions, Leonard Ellerbe. Bondia huyo atakayepanda ulingoni Jumamosi wiki hii kupigana na Manny Pacquiao katika pambano la kumaliza ubishi, alilakiwa na maelfu ya mashabiki ambao walimshangilia mno. Huo ndiyo ukumbi ambao pambano la litafanyika.
  Floyd Mayweather arrives at MGM Grand Garden Arena
  Floyd Mayweather arrives at MGM Grand Garden Arena
  Mayweather akiwa na mashabiki (kushoto) jukwaani na kulia wakati alipozuru MGM 

  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-3059953/Floyd-Mayweather-makes-official-arrival-ahead-Manny-Pacquiao-mega-fight.html#ixzz3Yfe64KSE 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAYWEATHER AENDA KUKAGUA UKUMBI WA PAMBANO MGM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top