• HABARI MPYA

    Wednesday, April 29, 2015

    HULL CITY YAIPIGA KIDUDUE LIVERPOOL, CHOMOA CHOMOA NA WEWE!

    Raheem Sterling is tackled by Paul McShane (left) and Dawson (right) as he had a quiet game for Liverpool
    Mshambuliaji wa Liverpool, Raheem Sterling akidhibitiwa na wachezaji wa Hull City, Paul McShane (kushoto) na Craig Dawson (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Kingston Communications. Hull City ilishinda 1-0 bao pekee la Dawson dakika ya 37.

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3059661/Hull-1-0-Liverpool-Craig-Dawson-scores-goal-two-years-end-Brendan-Rodgers-hopes-Champions-League-football.html#ixzz3YdmwfWYT 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HULL CITY YAIPIGA KIDUDUE LIVERPOOL, CHOMOA CHOMOA NA WEWE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top