• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2015

  NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA; BAYERN NA BARCA, REAL NA JUVE

  KOCHA Pep Guardiola (pichani chini) wa Bayern Munich atamenyana na timu yake ya zamani Barcelona katika Nusu Fainali ya Mabingwa Ulaya. 
  Kocha huyo Mspanyola atarejea Nou Camp kwa mara ya kwanza tangu aondoke Barcelona mwaka 2012, wakati mabingwa watetezi, Real Madrid watamenyana na Juventus katika Nusu Fainali nyingine. 
  Mechi za kwanza zitachezwa Mei 5 na 6 wakati marudiano yatakuwa wiki inayofuata.
  Pep Guardiola is to return to the Nou Camp as Bayern Munich face Barcelona in the Champions League
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA; BAYERN NA BARCA, REAL NA JUVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top