• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 28, 2015

  JOHN TERRY 'ANAVYOMSUTA' BENITEZ AELEKEA KUCHEZA MECHI 38 ZA MSIMU BILA TATIZO

  MIAKA miwili ilitopita, kocha Rafa Benitez alipokuwa wa Chelsea mustakabali wa beki John Terry ulikuwa shakani Stamford Bridge.
  Aprili mwaka 2013, kocha huyo Mspanyola alisema kwamba hawezi kuendelea kumchezesha mechi mbili kwa wiki na uamuzi huo wa utata ulitokana na maumivu ya goti ya mwanasoka huyo wa zamani wa kimataifa wa England. 
  Terry alichezeshwa mechi 14 tu katika msimu wa 2012-2013 kwenye klabu hiyo kipenzi. Leo mwaka 2015, Nahodha huyo wa Blues anakarinia kuinua taji la Ligi Kuu ya England akiwa ametoa mchango wake katika mechi kati ya 33 ilizocheza Chelsea hadi sasa.
  Na sasa mkongwe huyo anaelekea kucheza mechi zote 38 za msimu wa Ligi Kuu Chelsea. hakika ni jambo la kujivunia kwake.
  Chelsea captain John Terry is on course to appear in all 38 Premier League matches for his side this season
  Nahodha wa Chelsea, John Terry anaelekea kucheza mechi zote 38 za Ligi Kuu msimu huu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JOHN TERRY 'ANAVYOMSUTA' BENITEZ AELEKEA KUCHEZA MECHI 38 ZA MSIMU BILA TATIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top