• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2015

  FIORENTINA YATINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE

  Mohamed Salah, who joined Fiorentina on a loan deal from Chelsea, came close to doubling his side's lead
  Mshambuliaji wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah, anayechezea kwa mkopo Fiorentina kutoka Chelsea, akikosa bao la wazi usikua wa kuamkia leo katika mchezo wa Robo Fainali ya Europa League dhidi ya Dynamo Kiev jana Uwanja wa Artemio Franchi. Fiorentina ilishinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Mario Gomez na Juan Vargas na timu hiyo ya Italia inatinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1, baada ya awali kulazimishwa sare ya 1-1 ugenini.

  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3052998/Fiorentina-2-0-Dynamo-Kiev-agg-3-1-Mario-Gomez-Juan-Vargas-send-Viola-Europa-League-semi-finals-Jeremain-Lens-receives-harsh-second-yellow-dive.html#ixzz3YBgQTBmP 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIORENTINA YATINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top